28
Oktoba
SHIVYAWATA Official Website 2014
Ndugu,
Wadau wote wa SHIVYAWATA, Official website ya SHIVYAWATA inapatikana katika link ya www.shivyawata.or.tz
Tutakuwa tunawaletea taarifa (News) na fursa (Opportunities i.e Jobs, Scholarships, tender etc) kutokea kwenye website hii ya SHIVYAWATA hadi katika Accounts za facebook na twitter za SHIVYAWATA ambapo wadau mtakuwa mnazipata kwa muda huo huo.
Na pia, mambo yote yanayohusu SHIVYAWATA yame elezwa kwa kina katika website yetu, mfano SHIVYAWATA ni nini? inajighulisha na nini n.k
Shukrani.