2
Desemba
Maandaliza ya Siku ya watu wenye ulemavu kitaifa mkoani Iringa
Sorry, nothing found.
Timu ya wadau kutoka taasisi za kijamii kama vile SHIVYAWATA, CCBRT, ADD, MyRight na viongozi wa serikali kama vile Dr. Edward T. Bagandanshwa ambaye ni mwenyekiti wa Baraza la ushauri wa Taifa la watu wenye ulemavu pamoja na kamishna wa idara ya ustawi wa jamii. Ndugu Dunford Makala wameshawasili katika kiwanja cha Kichangani, kwa ajili ya kuhakikisha maandaaliza ya siku ya watu wenye ulemavu kitaifa (Disability Day 2014), yanakwenda vizuri ambapo kilele chake ni kesho tarehe 03 disemba.