Category Archives: News

ISAAC’S STORY RAISING AWARENESS IN THE COMMUNITY.

 

Isaac Idama is a passionate disability activist and member of SHIVYAWATA, the umbrella body for Disabled People’s Organisations in Tanzania. This winter ADD International is partnering with SHIVYAWATA to pilot inclusive pre-primary education in 252 schools across 3 different districts in Tanzania. Isaac_920x920In our country, especially in rural areas, people have a negative perception of disabilities. Most of them they fear it is a curse so having a kid with disabilities is a curse, so most of them are frightened to expose their kids, and some of them they kill their kids because of disabilities.

Cultural practices are the biggest problem but also inadequate facilities of learning in school. Most of our schools, they don’t have skilled teachers on disabilities, there is no infrastructure which is accessible to children with disabilities, so parents they feel that there is no need of taking kids to school.

I know very well the challenges I faced in the education process, so after completing my studies I became interested in making sure that other people become aware of their rights, so that is why I am part of disability movement.

As the Programme Officer for SHIVIYAWATA, I organise sensitization meeting and activities, such as radio programmes, television programmes, and training on the rights of persons with disabilities.

Sensitisation is about raising awareness in the community on the importance of education for children with disabilities. We have different approaches, in most cases we organise community meetings on the street, we organise television and community radio programmes, we participate in commemoration days such as the International Day of Persons with Disabilities and Education Week. We participate by giving brochures, posters and other communication materials.

Most organisations they are not dealing with people with disabilities. Most of them engage with HIV, malaria, TB and other problems but on the issue of disability there are very few organisations, so what I can say is ADD International is a very important organisation in the disability movement in our country.

Millions of disabled children never go to school and are condemned to a future of poverty and exclusion. Right now, we’re partnering with disability activists to ensure that every disabled child gets access to a quality education.  

 

credit story: https://www.add.org.uk/isaacs-story

KIKAO CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MRADI ULIOFADHILIWA NA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY – 6-7/10/2017

KIKAO CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MRADI ULIOFADHILIWA NA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY…MJINI DODOMA KWA SIKU MBILI….ULIZILETA PAMOJA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA FEDHA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI ,VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU
HAKIKA TUMEPATA MAENDELEO MAZURI YA UTEKELEZAJI WA MRADI
MRADI HUU UPO MKOA WA DSM,PWANI,SUMBAWANGA,SIMIYU,TABORA,KIGOMA,DODOMA ARUSHA,DAR ES SALAAM,MOROGORO,MWANZA n.k
Malengo:Makuu Ujumuishwaji wa watu wenye ULEMAVU katika shughuli zote za kimaendeleo kujengea jamii uwezo na watu wenye ULEMAVU kuzifahamu haki zao sanjari na kupambana kutokomeza mauaji ya watu wenye Ualbino
TUNAWASHUKURU FCS KWA MRADI HUU AMBAO NDANI YA MIEZI MIWILI UMEANZA KUZAA MATUNDA
TUNAWASHUKURU VIONGOZI WA SERIKALI KUANZIA NGAZI YA KITONGOJI HADI MKOA KWA UTAYARI WAO WA KUPOKEA MRADI HUU..
TUNASHUKURU ASASI ZISIZO ZA WATU WENYE ULEMAVU KWA KUAMUA KUTUUNGA MKONO KATIKA JAMBO HILI
ZAIDI SHUKRANI ZA KIPEKEE KWA VYAMA VYETU VYA WATU WENYE ULEMAVU KWA ELIMU KUUBWA MNAYOENDELEA KUITOA MNANIPA MOYO SANA
6-7/10/2017

22195798_1940438462880860_8172371279069421518_n 22195921_1940438649547508_8622623109227829583_n 22196157_1940438559547517_8006059491614266848_n 22196194_1940438386214201_6445384146105096122_n 22228084_1940438349547538_4569686211564936225_n 22279674_1940438422880864_6047218418649659159_n  22308699_1940438466214193_2075827878925886712_n

Picha za Matukio, Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu – 03 Disemba 2015 (International Disability Day)

Maandamano 1 Maandamano 2 Maandamano 3 Tents front view Tents view 2 Jukwaa kubwa Mdahalo 1 Mdahalo 2 Health testing 1 Health testing 2 Health testing 3 Present giving 1 Present giving 2 Present giving 3

Matukio katika Picha;

Picha 1, 2 & 3 – Maandamano

Picha 3, 4 & 5 – Sehemu ya kukaa waalikwa, sehemu ya mabanda ya Maonesho na Sehemu ya Jukwaa kuu

Picha 6 &  7 – Mdahalo

Picha 8,9 & 10 – Upimaji wa Afya kuunga mkono maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, tar 01 Disemba 2015

Picha 11, 12 & 13 – Ugawaji zawadi

 

 

‪#‎BarazaJipyaLaMawaziri‬, 2015

Jumla ya wizara ni 18 , na Mawaziri ni 19.

Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
– Augustino Mahiga, Naibu Waziri – Dk. Suzan Kolimba

Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani

Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama

Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili – Simbachawene na Kairuki

Ofisi ya Makamu wa Rais/Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba Naibu waziri Luhaga Mpina.

Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri ni Charles Kitwanga

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi
Waziri wake ni Wiliam Lukuvi Naibu Angelina Mabula.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Husein Mwinyi

Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri – Harrison Mwakyembe

Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba

Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi
Waziri- Mwigulu Nchemba Naibu Waziri- William Tate Ole Nashon

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Waziri – Charles Mwijage

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalimu Naibu – Dk Hamis kigwangalla

Wizara ya Sayansi, Teknolojia, Elimu na Ufundi
Waziri – bado hajapatikana – Naibu Waziri -Stela manyanya

Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri – bado hajapatikana na Naibu Waziri – Injinia Ramo Makani

Waziri wa Fedha na Mipango
Waziri – bado hajapatikana, Naibu Waziri – Dk. Ashantu Kijachi

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Waziri – bado hajapatikana, Naibu Waziri -Edwin Ngonyani

SALAMU ZA PONGEZI

Hongera

Disability Day Theme 2015

 

 

d day theme 2015 pic

2015 Disability Day is backed by a theme:

 

“inclusion Matters: Access and Empowerment for people of all abilities”

Or (In Swahili Version)

“Ujumuishaji ni muhimu: ufikikaji na Uwezeshaji kwa Watu wenye uwezo anuwai”

~~~~~~Kitaifa itaadhimishwa mkoani Mwanza~~~~~~~~~

Maadhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu yalitangazwa na kuzinduliwa mnamo mwaka 1992, kwa tamko la Umoja wa Mataifa katika Mkutano Mkuu – Azimio 47/3. Maadhimisho ya Siku yana lengo la kukuza uelewa wa masuala ya ulemavu na kuhamasisha kuungwa mkono kwa kuthamini utu, haki na ustawi wa watu wenye ulemavu. Pia yanalengo la kuongeza uelewa wa faida zinazoweza kupatikana kutokana na ushirikiano wa watu wenye ulemavu katika kila nyanja ya maisha yakiwemo ya kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.

Tangu mwaka 2009, Idara ya Uchumi na Masuala ya Jamii ya Umoja wa Mataifa, ilianzisha tamasha la filamu kama sehemu ya matukio kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu. The United Nations Enabled Film Festival (UNEFF) pamoja na filamu fupifupi zenye maudhui ya masuala ya Watu Wenye Ulemavu kuhusiana na utambuzi misingi ya muktadha na jumbe zinazo kuza uelewa wa masuala ya ulemavu na zaidi kukuza ushiriki madhubuti wa Watu Wenye Ulemavu katika jamii.

Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu Tarehe 03 Disemba 2014 Mkoani Iringa yalifana ambapo Mh.William Lukuvi ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo alihutubia umati wa watu wakiwemo viongozi wa serikali, wadau kutoka taasis mbalimbali za kijamii, watu wenye/wasio na ulemavu ambao wote kwa pamoja walijumuika kuadhimisha siku hio ambayo kila ifikakapo tarehe 03 Disemba huadhimishwa kitaifa na kimataifa.

Ujumbe wa Mh.William Lukuvi katika maadhimisho hayo ulilenga katika mambo makuu manne kwa kutilia maanani dhima ya siku hio kwa mwaka huu  2014 ambayo ni ;

Maendeleo endelevu: Ahadi ya teknolojia.

Mambo hayo makuu katika ujumbe wa Mgeni Rasmi Mh.William Lukuvi ni kama ifuatavyo;

1.Mikataba yote ya Ujenzi wa miundombinu nchini Tanzania lazima ikidhi mahitaji ya watu wenye ulemavu na pia wasanifu, wahandisi na makandarasi wote wanapaswa kuihakikishia Serikali utekelezaji wa mahitaji ya miundombinu hio.

2. Maendeleo ya teknolojia yawe yanazingatia pia mahitaji ya watu wenye ulemavu mfano mabasi kuwa na milango “automatic” kwa ajili ya watu wenye ulemavu, matumizi ya kompyuta kuzingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu, ujenzi wa maabara kuwa na miundombinu inayozingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu n.k

3. Serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano (TCRA) ina hakikisha kunakuwa na wakalimani wa lugha za ishara katika programu za televisheni na mjadala juu ya hili unaendelea ikiwa lengo la serikali ni kuona kwamba kila Televisheni ina ajiri wakalimani wa lugha ya ishara.

4. Wito umetolewa kwa umma wa kuto kubagua watu wenye ulemavu badala yake wanapaswa kuhakikisha kwamba watu wenye ulemavu wanapata haki zote za msingi kwa usawa na wengine katika jamii .

SHIVYAWATA imeendelea kuendesha Mafunzo ya Uelewa wa Haki kwenye Uongozi na Ushiriki wa kisiasa kwa Watu wenye Ulemavu

pic 13Watu wenye Ulemavu wamepata kuongeza uelewa wao katika kutetea haki zao kwenye uongozi na ushiriki wa kisiasa kufuatia mfululizo wa vikao vya mafunzo kwa watu zaidi ya 300 ambao ni viongozi wa vyama vya watu wenye Ulemavu nchini Tanzania.

Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) limeendesha mafunzo ya uelewa wa haki zao katika Mikoa nane na kuwafikia watu kutoka wilaya 41 na Mikoa miwili Zanzibar mwezi wa Agosti.

Vikao vya mafunzo vilijikita katika masuala ya haki za uongozi na ushiriki wa kisiasa pamoja na wajibu wa Viongozi wa watu wenye ulemavu Viongozi katika Kuhamasisha uongozi na ushiriki wa kisiasa wa watu wenye ulemavu.

Pia mafunzo yalitoa maelezo ya jumla ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania, mchakato wa uchaguzi na sheria na jukumu la Taasisi muhimu kama vile NEC na ZEC, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na asasi za kiraia katika Uchaguzi. Kufuatia mafunzo hayo Washiriki walisema sasa watahakikisha wanapiga kura kwenye siku ya uchaguzi baada ya kuongezeka uelewa juu ya umuhimu wa kupiga kura.

Mafunzo hayo yaliwawekwa Washiriki katika jukwaa la kubadilishana mawazo na changamoto. Ulinzi na usalama ni moja ya sababu ya kawaida Washiriki kuwazuia kutaka kushiriki katika michakato ya kisiasa, masalani wakati wa mafunzo yaliyofanyika katika Mkoa wa Mara mjini Musoma Washiriki wenye ulemavu wa ngozi walisema hawaoni ni salama kwenda kwenye Mikutano sababu ya hatari ya kutekwa / mauaji kwasababu ya sehemu za miili yao. Hayo yalisemwa na Bi Happiness Manobi ambaye amekuwa akitishiwa kwa SMS Mara kadhaa na alikuwa chini ya ulinzi wa polisi.

Hata hivyo, mdogo wake ambaye pia ni albino, hajapatikana tangu alipokuwa na umri wa miaka saba. “Kutokana na uhusiano kati ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na Wanasiasa mimi hukaa mbali iwezekanavyo na mikutano ya kampeni za kisiasa,” Bi Manobi alisema. Watu wenye vikwazo katika uhamaji walisema hawaoni ni salama kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Siasa kwakuwa hawataweza kujiepusha kwa urahisi endapo kukawa na hali ya vurugu. Walisema hilo huwazuia wao kwenda kukutana / kusikia / kuona Wagombea ili kuwawezesha kufanya uchaguzi wa nani wa kumpigia kura.

Changamoto za ubaguzi hasa kwa jamii kuhusu watu wenye Ulemavu na uwezo wao wa kuwa viongozi pia zimeendelea kuwa kikwazo wanapofikia kuteuliwa kama wagombea katika uchaguzi. Bi Lucia Daudi Mwita aligombea katika Uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita. “Pamoja na kwamba sikuweza kushinda nilikuwa na Uwezo. Jumuiya ilishtushwa kuona mimi kama mwanamke, na mwanamke mwenye ulemavu (amepoteza mkono wake wa kushoto) nilisimama na kuzungumza mbele ya jamii,” alisema Bi Mwita.

Kwa kuhitimisha, mpango kazi wa kuendesha mafunzo uliandaliwa na Viongozi wa vyama vya watu wenye ulemavu, Tanzania ambapo hili litakuwa ni jukumu lao katika wilaya zao kuwafikia watu wengine wenye Ulemavu na kuunga mkono wao kushiriki katika mchakato wa uchaguzi Kidemokrasia na.

Challenges for People with Disabilities persist

 An official of the Dar es Salaam based Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) was left perplexed one day as he entered a shop at Karikaooo, Dar es Salaam.
From nowhere a woman gave her him a 200/- coin apparently as alms to a ‘poor person.’
He humbly took the money and went on with shopping. In the presence of the woman who gave him the 200/- coin, he took 400,000/- cash from his pocket and bought a music system to the surprise of the woman.

It was not his first time to encounter such mishaps. He one day went for an interview in an office in Dar es Salaam. He was repulsed at the reception by being told that he came the wrong day because it was not the day to give alms to beggars.

It was not until he told her that he was called for an interview, that the receptionist allowed her in with apology.

Fredrick Msigallah (43) a master’s degree holder is an Advocacy and Capacity Building Officer at Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT).

msigallah-oct3-2013

His disability is actually the effect of polio at the age of five. Although his parents tried to find treatment for him in various hospitals, it all was in vein. So they decided to accept the reality.

His success has been much contributed to the great support from his parents and relatives who saw him as just an ordinary person other and provided him with every basic need particularly education. He is now in a frontline fighting for the rights of people with disabilities (PWDs).

Persons with Disability Act, 2010 defines disability as the loss or limitation of opportunities to take part in the normal life of the community on an equal level with others due to physical, mental or social factors.
And a person with disability is a person with a physical, intellectual, sensory or mental impairment and whose functional capacity is limited by encountering attitudinal, environmental and institutional barriers.

In Tanzania, it is estimated around 4.5 million people live with disability. For decades PWDs face myriad challenges such as abuse, lack of education, illiteracy, and unemployment and despite the available international law and national laws that protect their rights, the implementation of such laws is at a very low stage.

Just recently, CCBRT conducted a one day journalists disability awareness training in Dar es Salaam where a lot of issues regarding the rights of PWDs were discussed and in the end the journalists were asked not only to be sensitive when reporting about PWDs but raise awareness to the society that PWDs are like other people, they are the part of the society and should be given equal opportunities in all spheres of life.

The training was centered on four main things including society’s perception, myth and misconception on PWDs; language regarding PWDs; disability policy, legislation and international law on PWDs; and the role of media in promoting and protecting the rights of PWDs.

Another CCBRT Advocacy Officer- a lawyer who is also a person with visual disability, Amon Anastaz said due to negative perception on disability, PWDs face challenges as denial of employment, economic marginalization. They are regarded as people who cannot contribute to anything, are dependent, and always wait to be helped.

Additionally, many parents prevent their children with physical disabilities from going to school due to myths and misconceptions on disability which on the other hand is the main cause for disability since various communalities consider it as a result of witchcraft and take their disabled children to witch doctors and as a result of late medical assistance. The problem becomes resistant to treatment and hence disability.

The same reason of negative perception towards PWDs, Msigallah said, has much contributed to negative language regarding PWDs which is commonly used to refer when speaking whether to PWDs or about them.
He said that people are calling them using humiliating names such as nutty, bound on wheelchair, blind, mute and so many others and sadly even the media use the same words to report on PWDs.

On the part of disability policy, legislation and international law, Msigallah said Tanzania is a signatory to the United Nations Convention on the Rights of people with disabilities (UNCRPD) and also various policies and legislations in the country have been adopted but the PWDs are still facing many hardships.
He said that the National Policy on Disability of 2004 and the Persons with Disabilities Act of 2010 form a good foundation that manages all issues regarding the rights of PWDs.

However, the implementation faces many challenges, threatening the rights for the PWDs.
The officer noted that the two laws categorically emphasize on the equal rights to education, health services, employment, information and communication, cooperation in economy, respect, ability to reach all areas and good standard of life.

But such rights he said are not fully given to the people who are physically challenged. PWDs are still facing challenges in various issues concerning their welfare especially education. According to the officer there is insufficient equipment to facilitate the PWDs to study.
Anastaz added that PWDs do not enjoy the right to information and communication as they lack the equipment and translators to assist them.

They also face challenge in accessing health services as they usually get humiliated by health providers, while health centers’ infrastructure pose obstacles for them to reach the areas.

The report: Employment of persons with disabilities in Dar es Salaam Tanzania conducted by CCBRT to assess the proportion of employed PWDs in education, health and private sectors indicates that among all 24,552 teachers surveyed from all learning institutions in Dar es Salaam, Mara, Lindi, Mbeya, Singida and Tabora only 519 equivalent to 2.1 percent were PWDs.

In Health sectors, among all 738 health employees surveyed in Dar es Salaam, only 17 equivalent to 2.3 percent were PWDs and in Private sector, the survey associated 72 companies in Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Morogoro and Tanga and among all 20,568 employees surveyed, only 86 equivalent to 0.4 percent were PWDs.

The report also indicates that there is gender imbalance of employment opportunities to PWDs as men with disabilities are more employed than that of their counterparts and that the working environment are not friendly to PWDs.

The report finally suggested and recommended that the government should go beyond enactment of legislations on employment of PWDs through intensifying awareness raising efforts towards disability policies and legislations to public and private sector’s employers as an attempt to encourage them employ people with disabilities (PWDs).

PWDs should be encouraged to apply for formal employment opportunities and that there should be gender equality.

All working barriers such as lack of lifts and ramps in office buildings, equipments, and reliable transport to and from the office should be removed and companies should be sensitized to have disability policies and legislations in workplaces that oversee the employment of PWDs and penalties for those who do not comply with them must be formed.

The law is there and so are numerous regulations that seek to ensure PWDs are always given due recognition and equal right in accessing public facilities, but the most important thing is how the society perceives them and caters to their needs. This is about setting in process a turnaround in mindsets, so that the people with disability in our midst do not feel left out or held down by their disabilities.

Media should be in a frontline on this. The society too should realize that PWDs are part of the society; they also can contribute the same or even more in the society development if given opportunity to education and empowered to work.

“When my family took me to school there were some discouragements from my community, they were even telling my dad to not waste his time and money taking me to school as I will just be useless but thanks to my dad, he never listened to them but kept on paying for my studies and was always there to support and encourage me”,
“I have completed my studies, I have a very good job, I am really very happy because as for now I am the one who provides basic needs to my family and I am now supporting my younger brothers and sisters who are not disabled for their education. Actually, now the villagers are going back to my father and saying: “We are sorry, we were wrong, you have done a great, great thing in supporting this guy to this level”.

“So my daddy sees me like oh, you are everything now, and I am proud of that, because I was dreaming of that – to be able to support not only my life but also the life of my family members and that’s what I am doing now. I am happy about my life and I feel proud to be part of those people fighting for the better life of people with disabilities and that is what I would like to see in the near future, that many people with disabilities have their rights”, Msigallah said.

SHIVYAWATA IMETIA SAINI UTEKELEZAJI WA MRADI WA UCHAGUZI JUMUISHI NA UMOJA WA MATAIFA KITENGO CHA WANAWAKE

UTANGULIZI: Shirikisho la Vyama Vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania – SHIVYAWATA limetia saini mkataba wa mwaka mmoja na “United Nations (UN) Women” tarehe 20 Mei 2015 kuanza utekelezaji wa mradi wa  “Inclusive Election (Uchaguzi Jumuishi) ”.  Mradi huu wa Uchaguzi Jumuishi utawezesha Watu Wenye Ulemavu (W.W.U) kushiriki katika siasa na mchakato wa uchaguzi kiujumla Tanzania Bara na Zanzibar. SHIVYAWATA inashirikiana na Umoja wa Walemavu Zanzibar (UWZ) kufanikisha utekelezaji wa mradi Zanzibar.

Malengo ya Mradi: Mradi una malengo makuu matatu kama ifuatavyo;

  1. Kufanya ushawishi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Tanzania Bara- NEC na Zanzibar – ZEC juu ya changamoto zinazowakabili W.W.U kushiriki katika mchakato wa uchaguzi na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kukabiliana nazo ili kuwezesha ujumuishaji na ushiriki wa W.W.U katika mchakato wa uchaguzi.
  2. Kuwajengea uwezo W.W.U katika mikoa itayohusishwa na utekelezaji wa mradi juu ya haki na fursa katika mchakato wa kidemokrasia wa uchaguzi kama watangaza nia na wapiga kura.
  3. Kufanya ushawishi kwa vyombo vya habari juu ya Uongozi kwa W.W.U, Haki za kisiasa na changamoto kwa W.W.U ili kuwapatia nafasi na kutoa taarifa zitakazoshawishi jamii kuondokana na fikra hasi juu ya ushiriki wa W.W.U katika mchakato wa uchaguzi.

 

Katika Picha: Mkutano wa kuwasilisha mada kuhusu vikwazo kwa W.W.U katika  kushiriki uchaguzi  na mapendekezo kutoka kwa W.W.U

IMG_1754[1] IMG_1769[1] IMG_1763[1] IMG_1787[1]

 

 

Warsha ya kukusanya maoni juu ya uandikaji wa Ripoti ya Utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu, Tanzania

Warsha ya kukusanya maoni kutoka kwa wadau juu ya uwandika wa ripoti mbadala juu ya Utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu nchini Tanzania, toka kusainiwa na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania juu ya utekelezaji wa yaliyomo kwenye mkatababa huo mnamo mwaka 2009.

Warsha hio iliyofanyika Tarehe 27/03/2015 ilifanikisha kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kutoka katika asasi za watu wenye ulemavu na pia wadau waliowakirisha Serikali ambapo mara tu baada ya kumalizika kwa uandikaji wa ripoti hio, itatumwa makao makuu ya Umoja wa mataifa, Geneva, Switzerland.

IMG_1687 IMG_1688 IMG_1690 IMG_1692