25
Februari
Utafiti Uliowakilishwa kwa Mfumo wa Kidijitali (Survey Portal)
SHIVYAWATA kwa kushirikiana na Handicap International katika mradi wa Haki hadi Ujumuishaji wamefanya utafiti nakuja na ripoti ya hali ya haki za Watu wenye Ulemavu.
Utafiti umefanywa katika sekta kuu 4 ambazo ni;
- Afya
- Elimu
- Ulinzi
- Ajira
Baada ya Utangulizi huo, tunapenda kuwaletea utafiti huo katika mfumo wa kidijitali (Survey Portal) ambapo unaweza kuufikia kwa kubonyeza hapo chini;
Bonyeza Hapa “Survey Portal”