26
Novemba
Mkutano mfupi (Dissemination Workshop)
SHIVYAWATA kwa kushirikiana na Handicap International imeandaa mkutano mfupi (Dissemination Workshop) kesho
katika hoteli ya City Style iliyopo Sinza Mugabe, juu ya kujadili ripoti ya utafiti wa hali za haki za watu wenye ulemavu katika sekta ya Afya, Elimu, Ulinzi na Ajira. Mkutano utahusisha wadau maalum wanaohusika hasa katika sekta hizo.