26
Novemba
Uongozi Mpya TLB (Chama cha Wasioona Tanzania)
Chama cha Wasioona Tanzania kinapenda kuutambulisha uongozi mpya ngazi ya Taifa uliopatikana baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika wakati wa Mkutano Mkuu tarehe 14/11/2014. Wafuatao walichaguliwa kwa nafasi mbali mbali:-
1. Luis Benedicto – Mwenyekiti
2. Robert Bundala – Makamu Mwenyekiti
3. Emmanuel Simon – Katibu Mkuu
4. Batista Mgumba – Mweka hazina Mkuu.
5. Kiongo Itambu – Mratibu Idara ya Vijana na Chipukizi
6. Rehema Daruwesh – Mratibu Idara ya Wanawake na Watoto