14
Januari
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU RAMLI KUOKOA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINISM)
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jana tarehe 13/01/2015 imetangaza kupiga marufuku upigaji wa RAMLI na kuanza kwa oparesheni ya nchi nzima ya kuwabaini na kuwakamata watu wanaojihusisha na upigaji ramli ikiwa ni mkakati wa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism). Kwa maoni yako, mkakati huu utasaidia?
Source : EATV HOTMIX