15
Septemba
Umoja wa nchi za Ulaya wanatafuta waangalizi wa uchaguzi wenye Ulemavu
Hello wadau salaam,
SHIVYAWATA imepokea taarifa kuwa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wanatafuta waangalizi wa uchaguzi wenye Ulemavu kujaza nafasi za Data entry clerk, Political analyst na Media expert. Wanahitaji mtu ambaye atakuwa full committed hadi mwezi November 2015. Nafasi hizi zinahitajika kuzibwa haraka iwezekanavyo.
Kama uko interested au unamfahamu mtu mwenye sifa basi mwelekeze kutuma Barua ya maombi na CV yake kwa barua pepe ifuatayo:- info@eueomtanzania.eu Barua ya maombi ieleze nafasi unayoitaka.
Please jaribuni bahati yenu.
Endapo unahitaji ufafanuzi zaidi waweza kuwasiliana na Diana Makombe kwa namba ya simu:-
0659 112979