4
Februari
Utafiti juu ya Huduma za Afya kwa Watu wenye Ulemavu umekubalika na Benki ya Dunia
Utafiti uliofanywa na SHIVYAWATA kati ya Juni na Desemba 2014 ili kubaini jinsi watu wenye ulemavu wanavyopata huduma za msingi za afya umekubalika na kupitishwa na Benki ya Dunia (World Bank).
Utafiti huo ulifanywa katika Hospitali za wilaya za Serikali, ulihusisha pia jinsi gani jamii ya watu wenye ulemavu inashirikishwa ili kunufaika na mikopo ya fedha ya Benki ya Dunia kwa Tanzania inayolenga huduma za afya nchini.
Hivyo basi, kutokana na mafanikio ya utafiti huo, SHIVYAWATA imeamua kusambaza nakala (Soft Copy) za utafiti huo hapa