27
Novemba
Mkutano Mkuu (Dissemination Workshop) 27/11/2014
Mkutano mkuu umefanyika mapema leo kwa kushirikisha wadau toka maeneo makuu manne ya afya, elimu, ajira na ulinzi ili kujadili juu ya utafiti wa hali za haki za watu wenye ulemavu Tanzania katika maeneo hayo makuu manne. Utafiti huo umefanywa katika mikoa 20 Tanzania bara na upo chini ya mradi wa “From rights to Inclusion” unaoshirikisha Handicapped International na SHIVYAWATA.
Sorry, nothing found.