Mtoto wa umri miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana
shivyawata
Maoni yamezimwa Off kwenye Mtoto wa umri miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Baraka Cosmas mwenye umri wa miaka sita anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.